Staa wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’.STAA wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’ ambaye aliwatelekeza watoto wawili alioahidi kuwasomesha katika shule ya East Africa International ya Mikocheni jijini Dar es Salaam, atashtakiwa mahakamani endapo wazazi wa vijana hao wataamua kufanya hivyo, Risasi Mchanganyiko limeelezwa.
Meneja wa msanii huyo, Babu Tale, awali aliulizwa na gazeti hili juu ya kinachoendelea kuhusiana na vijana hao waliotimuliwa shule Aprili mwaka huu kwa kutolipiwa ada,
BONYEZA HAPA KUJUA KISA CHOTE KUHUSU DIAMOND
BONYEZA HAPA KUJUA KISA CHOTE KUHUSU DIAMOND
No comments:
Post a Comment