11 June 2015

BreakingNews: BASI LA BESTLINE LENYE NAMBA ZA USAJILI T174CAV LIMEPATA AJALI MBAYA.

BUS NAMBA ZA USAJILI T174CAV.plus gari lililosabisha ajali, chanzo ni gari lenye namba za usajili T344ACA lilikua limepaki katikati ya barabara bila kuweka alama yoyote, dereva wa basi la bestline alipojaribu kulikwepa akajikuta kaivamia gar nyingne iliyokua ipo service road nakujikuta anajibalaza kuanzia mlango wa abiria mpaka mwisho wa basi, watu wa tatu wanakadiriwa kufa na majeruhi wengine kadhaa, wamekimbizwa hosptali ya mkoa wa singida.
Chanzo: Eric Ndeki

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname