AY ameamua kujipa mapumziko marefu ya kutokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi.
Rapper huyo alikiambia
kipindi cha Mlimanidotcom cha Mlimani TV kuwa ana mwaka mmoja na nusu
sasa bila kuwa kwenye uhusiano wowote.
“Kila mtu ana uamuzi
wake na kila mtu ana mipango yake katika maisha so kwa upande wangu
nimeona nifocus sana kwenye kazi na ndio maana mnaona matokeo ya kazi
inavyofanyika. Sometimes vitu kama hivyo vinakusogeza mbele, sometimes
inaweza ikakudiscourage uwaka slow katika kazi zako. Ikitokea imetokea
ila sasa hivi nipo kama baiskeli
No comments:
Post a Comment