23 June 2015

50 Cent atawatumia hawa kurudi juu ya chati za muziki

UPTOWN
Ilikukamata chati kama alivyofanya miaka kadha nyuma rapa 50 Cent ametangaza ujio wa album yake mpya “Street King Immortal” na kwamba atawashirikisha wasanii Kendrick Lamar, Lil Wayne & Chris Brown “Street King Immortal”
50 Cent amesema ana kazi nyingi ila hana uhakika kama zote zitakuwepo kwenye cd hio. Wasanii wengine ni Kidd Kidd na Ne-Yo.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname