13 May 2015

AUNT EZEKEL AFUNGUKA KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA WEMA KWA SASA


Kutoka Mitandaoni: Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel ameamua kuvunya ukimya fufuatia comment mablimbali za mashabiki juu ya kile kinacho daiwa kuwa urafiki wake na staa mwenzake Wema Sepetu umeyumba.

Madai ya kuyumba kwa ufafiki baina ya mastaa hao yameibuka kwa kasi baada ya hivi juzi kati kufanyika kwa baby shower ya Aunt na Wema kutokuwepo kwenye pati hiyo, kitu ambacho mashabiki na wapenzi wa mastaa hao wamekuwa wakihoji ina wezekana vipi Wema kukosa kwenye pati hiyo. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname