24 June 2013

HATIMAYE JESHI LA POLIS WAMJIBU JOYCE KIRIA KUHUSU MADAI YAKE KWAMBA WAMWAMBIE ALIPO MUME WAKE


Advera-SensoInasikitisha kuona kwamba huyu mama Joyce Kiria anaingilia mambo ya kisheria na kutaka kupotosha jamii kwamba hajui mume wake yuko wapi pia nadhani analenga kuichochea jamii kwamba aliyetuhumiwa kutenda uhalifu akikamatwa familia yake iandamane, tendo ambalo pia ni kosa la jinai. Aidha anatakiwa kuheshimu haki za watoto na kuacha kuwatumia katika kinga ya kutetea watu wanaotenda uhalifu (Imetolewa na Advera Senso Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania)
1aJoyce Kiria akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam ambapo alidai hajui mume wake yuko wapi

2 comments:

  1. Saas huyu msemaji wajeshi la polisi mbona hajajibu kitu jamii tunataka kujua yuko wapi???
    kwanini asiseme yuko wapi
    na anadhani hao watoto nani atawatunza?????
    au ndo wanaendeleza kauli ya pinda "mtapigwa sana" kama walivyo fanay Arusha
    alafu anasema" kuandamana ni kosa la jinai"
    wapi Democracy??????????????
    jamani watanzania tufunguke!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. kiliya acha siasa now wabongo tumeshajua kwamba nia ya chama flani bongoi nikuatualibia AMANI yetu DZAINI UMEFALLLLLLL

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname