30 April 2015

Video ya Wanjera sasa kwenye chati ya Mtv Base.

wanjera98
Wiki chache baada ya video ya Ommy Dimpoz ‘Wanjera’ kutoka imefanikiwa kushika namba 9 kwenye chati ya video ya Mtv Base.
Video imeingia kwenye chati ya video kumi tu iitwayo ‘Official African Chart’. Mastaa wa bongo kama Petei Money, Wema Sepetu na Idris wameonekana kwenye video hii.
wanjera

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname