30 April 2015

Picha,Rihanna ndani ya Bikini kwenye visiwa vya Hawaii #PhotoShoot

Kuelekea kutoka kwa album yake mpya, msanii wa rnb Riri aka Rihanna amekuwa akiteka vichwa vya habari kwa photo shoot tofauti za majarida mbali mbali. Photo shoot mpya amefanya akiwa kwenye mapumziko kwenye visiwa vya Hawaii.
Riri alikuwa na rafiki yake wa utotoni Melissa Forde.
rihanna-hawaii-1 rihanna-hawaii-2 rihanna-hawaii-3 rihanna-hawaii-4 rihanna-hawaii-5

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname