20 March 2015

WEMA SEPETU AGOMEA KAJALA KULISHWA KEKI UKUMBINI!


Imelda mtema 
KATIKA kile kinachoonekana kuwa ugomvi wao bado ni mbichi kabisa, nyota wa filamu Bongo, Wema Sepetu Jumanne wiki hii akiwa ni mshehereshaji katika sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mtoto wa mtangazaji maarufu, Zamaradi Mketema,
aligoma kumtaja Kajala Masanja kama mmoja wa watu waliotakiwa kula keki, Ijumaa lina mkanda kamili.SOMA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname