18 March 2015

PETITMAN AFUNGUKA HATA KAMA DIAMOND NI SHEMEJI YANGU SIWEZI KUACHA URAFIKI NA WEMA SEPETU


Mpambe na Rafiki Mkubwa wa Wema Sepetu Petit Man Amesema Kamwe Hawezi kuachana na Wema eti kwa Sababu Shemeji yake Diamond Ana mahusiano na Mwanamke

mwingine.. Kauli hiyo inaashiria kwamba Petman yupo tayari kunyang'anywa Mke endapo uhusiano wake na Wema Sepetu hautaipendeza familia ya Diamond kuliko kuvunja uhusiano na Wema Sepetu .SOMA ZAIDI>>>.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname