18 March 2015

Mtu maarufu mwenye mashabiki wengi zaidi facebook na kazi anayofanya

facebook-likes-truck
Facebook imemtaja mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Christiano Ronaldo kuwa ndio mtu maarufu mwenye mashabiki wengi zaidi facebook.
Ronaldo amemfunika Shakira aliyekuwa na mashabiki milioni 1oo kwa kuwa na mashabiki milioni 107. Ronaldo [107,096,356] na Shakira [107,087,100] .
crd 1

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname