18 March 2015

JOKATE KIDOTI AFUNGUKA KUHUSU WANAUME ALIOWAHI KUWA NAO AMSIFIA MMOJA NA KUMPONDA DIAMOND PLATZNUMZ LIVE!!

Miss Tanzania Namba 2 Mwaka 2006, Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo ..Akizungumza na Gazeti la Kiu , Kidoti amesema kwa sababu ambazo amezihifadhi moyoni mwake Hasheem alikuwa na vitu Adimu sana ambavyo hawezi kuvitaja.....Kuhusu Diamond Ambae pia amewahi kutoka nae Kidoti amesema hakuenjoy nae kwani yalikuwa mapenzi ya muda mchache sana

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname