20 March 2015

AJALI MBAYA YAUA WATU 7 NA KUREJURHI 26 BAADA YA MABASI KUGONGANA HUKO MIKUMI, MOROGORO!

   Watu saba wamefariki dunia 26 wamejeruhiwa baada ya basi la Msanga Express likitokea Morogoro kwenda Mahenge kugongana na basi la kampuni ya Luwinzo lililokuwa likitoa Njombe kwenda jijini Dar es Saalam katika eneo la hifadhi ya Mikumi barabara ya Morogoro Iringa.Wananchi walioshuhudia tukio hilo wamesema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa basi la Msanga Express alikuwa akijaribu kulipita lori bila tahadhari na kisha kutoa gari barabarani wakati akikwepa ajali ya uso kwa uso ambapo aligongwa upande wa kulia.

 Inaelezwa kua watu sita walifariki dunia papo hapo na mwingine amefariki wakati akiwa njiani kupelekwa hospitalini kupata matibabu.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA>>ZINATISHA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname