Hapa
Mwarabu huyu alionekana akiwa na Furaha kubwa wakati alipokuwa na Simba
wake ambaye nae alikuwa poa tuu kwa sababu wamezoeana tuu kama
wanadamu.Huwezi kuamini lakini hivi ndivyo ilivyokuwa hapa wakati jamaa
huyu alipokuwa akicheza na Simba wake pamoja na mapaka makubwa .shuhudia
hapa.
Dah hii hatari kwa jinsi Simba huyu alivyo mzoea huyu jamaa unaweza ona hapa anaweka mkono katikati lakini hata hamli 
Huyu simba wala hana noma na huyu jamaa hapa
wanapiga story... "Dah nanjaa kweli hapa" utazani simba huyo alikuwa
anamwambia jamaa tajiri

Hii hatari " Shikamoo Boss" Ni kama simba huyu alikuwa akimwambia bosi wake
No comments:
Post a Comment