01 February 2015

BIFU LA DIAMOND PLATINUMZ, DAVIDO NA WIZKID LAISHA KIIVI! SHUHUDIA HAPA!


Wakali hawa wanaofanya vizuri kwenye ramani ya muziki Afrika na kimataifa kwa ujumla hatimaye bifu lao limeisha. 
Uthibitisho huo wa bifu la wakali hawa watatu limeisha mara baada ya Diamond Platnumz na Wizkid ku-post kwenye page zao za instagram nyimbo mpya ya Davido aliyo mshirikisha Uhuru na Dj Bucks. Diamond nae ali-post katika account yake kwa kuonesha kum-support Davido kwa nyimbo yake mpya. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname