28 January 2015

TAHADHARI PICHA ZA KUTISHA MTUHUMIWA WA KUJILIPUA NA SEMBE TEVEZ AFANYIWA UNYAMA MPAKA KUKATWA UUME NA WAUZA SEMBE WENZIWE SOUTH AFRICA ONA HAPA LIVE!!


"Tukiwaga tunapinga madawa ya kulevya muwe mnasikia na kuelewa madhara yake.
.sasa ona mwisho wa siku mnadhalilishwa vibaya. Tukisema wauza unga wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani ukigeukwa hakuna cha mmesota wote wala nini unaumizwa, hamuelewi!

Haya sasa ndugu yetu amewadhurumu wenzake mzigo huko South Africa, wakamshtukia kwamba kaficha check walivyomfanyia unyama huu mpaka kuondoa uume wake. Inasikitisha sana, picha nyingine ni mbaya mno... na list ya wauzaji madawa inazidi kuongezeka huko SA mmejibana wengi, yatakayowapata mtajutia.. #SayNoToDrugs 
"- Source Jamiiforums




No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname