Wasanii wa Africa walipata nafasi yakutoa burudani katika tuzo hizo za GloCafAwards kama
Uhuru Mr lavour Uhuru ,soweto gospel choir na wengineo Lakini Watu
Waliguswa na Nyimbo ya diamond mdogo My Number one remix ambayo Plutnmz
alionyesha uwezo wakuimba ubeti wa Davido Wote Bila yakufwata Cd Back
Play nakufanya vizuri
No comments:
Post a Comment