03 January 2015

ALIYEKUWA MTANGAZAJI MAARUFU WA RADIO FREE AFRICA ATIMKIA CLOUDS FM

Fredwaa Kulia Akiwa na Issa Michuzi
Mtangazaji anayejulikana almaarufu kama Fredwaa kutoka Radio Free Africa, sasa yu ndani ya mjengo wa Radio Clouds kipindi cha Power Breakfast, akiungana na Mbwiga, Gerald Hando, Boonge n.k. Mtangazaji huyu alijizolea umaarufu katika kipindi chake cha asubuhi pale RFA, ambapo pamoja na mambo mengine alikuwa na segment inaitwa Vodacom Top 5…

Je unadhani ameenda Clouds kuua kipaji au kuboresha kipaji?

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname