
MISS TANZANIA PART 2.
Baada ya kuvuliwa taji aliyekuwa miss Tanzania Sitti mtemvu kwa kughushi umri...nafasi ya miss Tanzania imenyakuliwa na Mshindi wa pili Lilian
Kamaziama...lk mshindi huyu wa pili naye inasemekana sio raia wa Tanzania ni mnyarwanda. LILIAN nini mtoto wa generali wa jeshi KAMAZIAMA.BOFYA KUSOMA ZAIDI>>>.
No comments:
Post a Comment