02 October 2014

SOMA MANENO MAZITO YA T.I.D MNYAMA

MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khalid Mohammed ‘TID Mnyama’ amesema, yeye ni msanii wa kimataifa tangu siku nyingi ingawa amekuwa hapewi sapoti anayostahili kupata.
Akizunguza jijini Dar es Salaam, muimbaji huyo ambaye hivi karibuni alirekodi wimbo na msanii wa Afrika Kusini, Tumi, amesema kile wanachokifanya wasanii wapya wanaotaka kwenda kimataifa kwa sasa, yeye alikifanya miaka mingi iliyopita.
Unajua kama kufanya muziki kimataifa mimi tayari nilishaenda zamani sana, maana nikikumbuka video zangu nimeshafanya mahojiano na MTV Base, Channel O na pia nimefanya kazi na wasanii kutoka Nigeria na Afrika KusiniAFUNGUKA ZAIDI INAENDELEA>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname