02 October 2014

MAJANGA : AUNT EZEKIEL HANA NDOA! KISA


Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa akizungumza jambo. “Hakuna ndoa kati ya mtu yeyote ambaye amezidi miezi 6 bila kukutana na mumewe kwa mujibu wa dini ya kiislamu.
SHEIKH Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa ameweka wazi kuwa msanii nyota wa filamu, Aunt Ezekiel ambaye aliolewa na Sunday Demonte hana ndoa kutokana na kukaa mbali na mumewe kwa zaidi ya miezi sita.


Msanii nyota wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname