23 October 2014

Kama Ulikuwa Hujui Huyu Ndie Demu wake Ben Pol Mtizame Jinsi Alivyo Mzuri.

Ben Pol


Hit maker wa single ya Samboira na hata Jikubali Msanii Ben Pol ambaye kwa upande mwingine ni msanii ambaye hajawahi kupata skendo za mapenzi na watu wengi hudhani kwa labda yupo single lakin hapana Ben Pol ana mpenzi wake aliyewahi kushika taji la Miss Tanzania 2013 number mbili anajulikana kwa jina la Latifa Mohamed,Siku za karibuni aliwahi kupost ya mrembo huyo ambaye iliiibua fikra tofauti kwa baadhi ya mashabiki wake kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram,nimekusanyia picha zake hizi hapa 


Mchumba wa Ben Pol


mchumba wa ben pol


Mchumba wa ben pol latifa mohamed


Mchumba wa ben pol latifa mohamed

Mchumba wa ben pol latifa mohamed

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname