27 October 2014

CHID BENZI KUPANDISHWA KIZIMBANI


MSANII wa muziki wa hip hop, Rashid Makwiro ‘Chid Benzi’ anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukamatwa na dawa za kulevya na kesho anatarajiwa kufikishwa mahakamani. 

Chidi Benzi alikamatwa na dawa za kulevya juzi jioni katika Uwanja wa Kimataifa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam wakatia wa ukaguzi kabla ya kupanda ndege ya Fastjet akielekea jijini Mbeya.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, SACP Alfred Nzowa, msanii huyo ameendelea kushikiliwa na jeshi la polisi mpaka kesho atakapofikishwa mahakamani.SOMA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname