02 October 2014

BIRTHDAY YA DIAMOND PLATINUMZ: WEMA SEPETU AUMIZA KICHWA! JIONEE MWENYEWE HAPA!

Leo, Octber 2, Staa wa muziki wa bongo flava Nasibu Abdul aka Diamond anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza umri wa miaka 25.Mpenzi wake, Wema Abraham Sepetu ambaye huenda wengi wanasubiri kusikia atasema nini au atatoa zawadi gani kwa Diamond ambaye alimpa gari aina yaNissan Murano, ameandika machache kwenye Instagram na kueleza kuwa anajipanga kuandika ujumbe mzuri zaidi. 
“Happy Birthday to you my original soul... ngoja nitulie kwanza ndo niandike caption maana nina mengi kwa kweli... ila jua nakupenda sana...”Ameandika Wema. Naye Shetta ameamua kumlipa fadhira ya shukurani Diamond Platinumz kwa mchango wake kwenye maendeleo ya muziki wake ikiwa ni sehemu ya kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname