22 October 2014

ALIKIBA AFUNGUKA KUHUSU WASANII WALIOMFURAHISHA ZAIDI FIESTA 2014

Ni week ambayo imefatana na weekend iliyoacha kumbukumbu nzuri kwa watu mbalimbali waliohudhuria tamasha la Fiesta ambalo mwaka huu limechukua headlines za rekodi kubwa ya mahudhurio karibu kila sehemu lilikopita ambapo Dar es salaam idadi inagonga kwenye elfu 50.Ali Kiba alikua miongoni mwa wakali waliokubali mwaliko wa kutokea juu ya jukwaa hilo ambapo
Millard alipata nafasi ya kuongea nae Exclusive aelezee ni Wasanii gani waliomvutia baada ya kuonyesha kazi zao on stage. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname