01 August 2014

Nisha: Bado Sijaona Mwanaume wa Kunipa Mimba Bongo


Nisha Msanii wa Bongo Movies Amehabarisha na Kusema Bado Hajaona Mwanaume Ambae Atakuwa Baba wa Watoto Wake Kwani kila Mwanaume Anayemtongoza na kumtaka Kimapenzi Haoni Kama anaweza kuwa Baba Mzuri wa familia na Kulea Watoto Ipasavyo

"Nahitaji Kutuliza Akili na Kufikiria hili Swala kwa Makini Kwani Ishu ya Kuzaa na Kulea Mtoto ni nyeti sana Nisije Nikakurupuka nikaambulia Garasha na Kuambulia Kulia" Nisha

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname