01 August 2014

ANGALIA VIDEO: MAMA AMPELEKA MTOTO KWA BABA YAKE KWA KUMFUNGA KAMA KIFURUSHI

Hiki ni kisa kilichotokea nchini Kenya na kuripotiwa na NTV, ambapo mwanamke mmoja ambaye ni mama ameamua kumfunga mwanaye kama mzigo na kumtuma kwa baba yake kwa njia ya kifurushi. Mtoto huyo wa kiume ana umri wa wiki tatu.Wafanyakazi wa kampuni ya G4S ambapo anayedaiwa kuwa baba wa mtoto huyo nafanya kazi, wamesema walikuta kifurushi ambacho hawajawahi kupokea
kimetelekezwa nje ya ofisi zao na walipofungua kibox wakakuta ni mtoto amefungwa kama mzigo.BOFYA KUONA VIDEO YA TUKIO HILO

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname