Natumaini hakuna asiye mfahamu mwigizaji huyu maarufu hapa Tz, mara kwa mara amekuwa na skendo za hapa na pale huku magazeti yakimwandika kila kukicha.. lakini hilo si ambalo sana nataka kulizungumzia hapa.
Mara
nyingine wolper anataka kick ama anataka aandikwe kwenye vyombo vya
habari. Kipindi kidogo kimepita masanii huyu alikubwa na skendo mbaya ya
usagaji na ikapelekea vyombo vya habari kukutana naye na kumuhoji juu
ya swala hilo. Lakini kinyume na hapo wolper alikataa na kukana kuwa si
msagaji.....
Mara
nyingine watu wanaweza kukujudge kwa muonekano wako, sasa Jack amezidi
kuvaa mavazi ya kiume ambapo yanapelekea hisia tofauti miongoni mwa
mashabiki mbalimbali huko Instagram. sio kwamba tunaingilia maisha yako
no ila ni katika hali ya kujenga Status yako katika jamii kama
Celebrities.
No comments:
Post a Comment