WAZIRI WA ZAMANI WA KENYA AWAACHA WATU MIDOMO WAZI BAADA YA KUMLA MATE MKEWE KAMA KIJANA WA MIAKA 20 LIVE UWANJA WA NDEGE
hii ilitokea juzi wakati laila odinga ambaye kwa sasa
anaishi Boston alipokwenda kumpokea mke wake ambae alikwenda kumuona,
wawili hao walibusiana kama vijana wa miaka 18 na kuwaacha abiria
walioudhuria kwa ajili ya safari mbalimbali wakiwa midomo wazi
No comments:
Post a Comment