Ikiwa jina la mtangazaji maarufu wa televishen ya TV1 Jokate Mwegelo, likitajwa tena
kwa mara nyingine ikiwa hivi sasa akiwa anahisiwa kuwa yeye ndiye
amevunja ndoa ya mtangazaji mwenzake Edzen, katika skendohii ambayo inasemekana kuwa Edzen Ndiye alikuwa ana-fall kwa mwanadada
huyu na kuacha ndoa yake ikianguka, hatimaye Jokate avunja ukimya
kuhusiana na skendo hiyo inayomkabili,
No comments:
Post a Comment