YAP UMEKWISHA: Ule mtafaruku ulioleta sintofahamu kwa mashabiki mamilioni wa radio ya watu Clouds FM baada ya watangazaji wake mahiri B12, Adam na Dj Fetty leo umefika tamatiKumbe ishu hiyo sio halisi kama baadhi ya watu walivyokuwa wakifikiria,
kwa mujibu wa watangazaji hao kupitia kipindi cha XXL muda huu wamefunguka kuwa ulikua ni mpango kwa ajili ya kupima kama watanzania wanaweza kupaza sauti....!Ikiwa ni mahususi zaidi kuhamasisha kampeni hiyo...

No comments:
Post a Comment