05 July 2014

MASKIN NEYMA NDO BASI TENA...KOMBE LA DUNIA

STAA wa timu ya Brazil, Neymar hataendelea na michuano ya Kombe la Dunia 2014 baada ya kuvunjika mfupa unaoshikana na uti wa mgongo wakati wa mechi yao na Colombia usiku wa kuamkia leo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname