05 July 2014

HIVI NDIVYO RAIS KENYATA ANAVYO LINDWA KWA SASA

suBaada ya kuchafuka kwa hali ya usalama nchini Kenya kutokana na tishio la magaidi wa Al Shabaab sasa ulinzi unaomlinda raisi wa Kenya umeongezwa maradufu. Kila sehemu anayotembelea ulinzi umeongezwa kuanzia magari, wanajeshi na hadi polisi.

 uhuru3

Mpya imetokea wiki iliyoisha katika uwanja wa Nyayo stadium ambako kulikua na  sherehe za kitaifaambapo kulikua na ulinzi mkali sana kiasi kwamba kila mtu aliyeingia katika uwanja huo alikaguliwa. Ndani ya uwanja alitakiwa kuingia mtu tu bila ya mzigo mwingine wowote hata kama una chupa ya maji hukutakiwa kuingia nay

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname