JOKATE Akana shutuma za kusambaratisha ndoa ya Dida
Mtangazaji
wa Kipindi cha The One Show, Jokate Mwegelo ‘Jojo’ amefunguka kuwa
hahusiki na kuvunjika kwa ndoa ya Khadija Shaibu ‘Dida’ kwani ni
mshikaji wake na wanaheshimiana.
Akijibu
tuhuma kuwa, yeye anahusika na kuparaganyika kwa ndoa hiyo kufuatia
‘ku-fall in love’ kwa mume wa Dida, Edzen Jumanne ambaye ni mtangazaji
mwenzake, Jokate alisema:
“Yaani watu wanapenda kuungaunga maneno
kweli,
jamani mimi siwezi hata siku moja kuwa na Edzen, ni mfanyakazi mwenzangu
halafu Dida ni mshikaji wangu siwezi kabisa, tena wasitake
kunitibulia.”
No comments:
Post a Comment