04 July 2014

HAMMER Q..AMCHANA LIVE.... HUYU MSANII MWENZAKE ANAYE MWARIBIA KILA DILI ANAYO PATA

HAMMER Q





Nimepata data zako bob Lakini Na amini kuwa MUNGU pekee ndie ana mamlaka ya kuamua lolote juu yangu na sio wewe Nitakupenda km binaadam mwenzangu hata km nimestuka kuna mabaya unayonitendea naamini hujui ulitendalo...! Nitaendelea kuishi kwa uhalisia wa maisha yangu na ilivyoumbwa roho yangu sitakulipiza baya lako kwa baya langu sababu Mimi kwa sasa nimekua sio mtu wa visasi na roho yangu ni nyeupe kabisa sitakutendea baya bali nitakuombea kwa mungu akubadilishe kutoka roho mbaya uliyonayo na akuongoze ktk njia sahihi Jifundishe kuTii haja za moyo wako si maneno ya watu...! Kawaida Yangu huridhika na nilichonacho kwa kuamini ndicho MUNGU alichonipa na kuna siku nitapata zaidi...! Na unavyonidharau nitazid kukuheshim na kujituma maana unanipa uchungu wa kutafuta mafanikio...! Huwa na Amini na mimi ni muhimu ktk jamii ndio mana nimeumbwa...!nakushangaa sana unavokua mtu wa kujaribu kuniharibia rizki zangu kana kwamba umeziumba ww Nasijui ingekuaje kama ungepewa funguo ya rizki We Fanya unavofanya niharibie unavoniharibia mimi namuachia Mungu kisha Nikutakie ramadhan NJEMA Na mungu akutilie wepes ktk kubadilika .ningekusema pembeni ningemkosea mungu lkn nimekuchana kweupe kuridhisha roho yang.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname