DUH!!!! HUWEZI KUAMINI: NAGRIS MOHAMMED AFICHUA HISIA ZAKE ZA KUVUTIWA NA DIAMOND
Aliewahi kuwa Miss Tanzania namba 3 (2013/04) Nagris
Mohammed, Leo kupita ukurasa wake wa INSTAGRAM amefungua moyo wake na
kuandika kwa Diamond ndio Mwanaume anavutiwa nae zaidi.
No comments:
Post a Comment