26 June 2014

NEWZZZZZZ......Mtu na dada yake wamefumaniwa na wazazi wao wakifanya mapenzi. Kaka (20) na dada (18)! | Zaidi soma


Ni tukio linatokea sasa hivi hapa tabata mtaa wa amani. Kaka na dada ambaye wamezaliwa baba na mama mmoja wamefumaniwa katika nyumba yao.
Wazazi wa watoto hao walikuwa wametoka kwa matembezi kurudi ndio wanakutana na mkasa huo. Hivi sasa wananchi wanatembeza

kichapo kwa kaka, dada amekimbia hajulikani yuko wapi.
Inasemekana kaka ana miaka 21na mdogo wake ni 18....

Dunia imekwisha, kaka na dada??? sijui binadamu tunaelekea wapi???

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname