26 June 2014

HII NDO MIUJIZA ANAYO FANYA MASANJA MKANDAMIZAJI KATIKA MIKUTANO YA INJILI

NA HAYA NDO MANENO ALIYO ANDIKA

NIMEONA MUNGU WANGU AKIPONYA WAGONJWA NA KUFUNGUA WALIFUNGWA NA MAGONJWA SUGU....
NIMAOMBI YANGU JUMAPILI YA LEO, KILA JAMBO LILILOKUSUMBUA KWA MDA MREFU,IWE NI
UGONJWA,SHIDA YA NDOA,KAZ,BIASHARA,MASOMO,LAANA,NK,MUNGU WANGU AKUHURUMIE NA UPOKEE UPONYAJI. tamka maneno haya kwa imani rafiki Yangu .
ASANTE MUNGU KWA KUNIHURUMIA,NIMEPONYWA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname