Wachezaji
kadhaa wamemsupport kwa ujasiri wake wa haraka na kula ndizi hiyo
aliyotupiwa uwanjani alafu akaendelea na game kama kawaida ambapo
miongoni mwa waliomsupport ni Neymar.
Mwingine
alieonyesha support ni Samuel Eto’o ambae baada ya kuweka picha zake
mbili akiwa kwenye magari yake ya kifahari na kuandika ‘samahani
nilisahau kuuliza, kuna yeyote anataka kuwa nyani kama mimi?
No comments:
Post a Comment