Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto)
akizungumza na mtangazaji maarufu wa Kituo Cha runinga Cha Serikali ya
Marekani (VOA),Tshaka Ssali aliemtembelea ofisini kwake jijini Dar es
Salaam .Ssali ambaye amejijengea umaarufu duniani kwa kuwahoji viongozi
maarufu hususan wa Afrika, alimtembelea Mh Lowassa ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto)
akifurahi jambo wakati akiwa katika mazungumzo na mtangazaji maarufu wa
Kituo Cha runinga Cha Serikali ya Marekani (VOA),Tshaka Ssali.
No comments:
Post a Comment