23 May 2014

RUGE MTAHABA ATOA UFAFANUZI KUHUSU BIBI BOMBA KUDHALILISHA MABIBI

7

Mapema wiki hii zilibuka tuhuma kwamba kipindi cha Bibi Bomba kinachorushwa katika kituo cha Clouds TV kimekuwa kikidhalilisha akina bibi wanaoshiriki katika shindano hilo la Bibi Bomba. Ayo TV ilipata nafasi ya kufanya mahojiano na mkurugenzi wa ufundi na uzalishaji wa CloudsMedia Group Bwana Ruge Mutahaba kuhusiana na tuhuma hizo..Bofya hapa kuangalia video akiongea live

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname