20 May 2014

PICHA MAELFU WAMZIKA ADAM KUAMBIANA KINONDONI DAR


Mashada yakiwa tayari juu ya kaburi la marehemu Adam Philip Kuambiana, muda mfupi baada ya shughuli za maziko kukamilika.
Jacob Steven 'JB', akiweka shada kwenye kaburi. 

Msanii wa fialmu Bongo, Mariam akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Kuambiana.
Mwili wa marehemu Kuambiana ukiwasili makuburini tayari kwa shughuli za kuusitiri.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Kuambiana likishushwa kaburini.PICHA ZAIDI HAPA >>>>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname