KAMA ULIKUWA HUMJUI MAMA YAKE NA MSANII @AvrilKenya KUTOKA KENYA HUYU HAPA.
Msanii
Avril Nyambura kutoka kenya amabye hivi karibu alivalishwa pete na
mchumba wake kutokea pande za South Africa ambaye jamaa inasemekani ni
mfanyabiashara.Katika wanamziki warembo nchini kenya huwezi kuacha
kumuongelea msanii Avril lakin huyu ndie alimptia uzuri ambaye ni mama
yake mzazi

No comments:
Post a Comment