22 May 2014

NICK WA PILI AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA WEUSI WANATARAJIA KUMRUDISHA LORD EYES KUNDINI

WEUSI_full

Msanii wa kundi na kampuni ya Weusi, Nick wa Pili ameweka wazi kuwa siku za hivi karibuni itafahamika hatima ya Lord Eyes aliyesimamishwa kutokana na kukiuka maadili na sheria za kundi.
WEUSI_full
Weusi
Nick aliweka wazi hilo alipokuwa akichat katika ukurasa wa Facebook wa EATV alisema kuhusu hatima ya msaniii Lord Eyes ambae alisimamishwa katika kundi hilo na kudai atarudishwa soon. “Lord Eyes soon atarudi weusi maana sisi kama weusi kwa pamoja ni kampuni,hivyo weusi ni mtu 5 kama memorandam ya kampuni inavyo sema,” alisema.
Weusi walimsimamisha rapper huyo baada ya

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname