20 May 2014

AUAWA KWA KUKATWA KATWA MAPANGA MKOANI LINDI


Hamis Dadi
Na Abdulaziz Lindi
Pichani ni Marehemu  Hassan Hamis Dadi akitolewa kukimbizwa hospitalini baada ya kukatwa mapanga na mtu ambae hajafahamika aliemvamia akiwa kavaa Ninja akiwa shambani kwake katika kijiji cha Liteta Tarafa ya Mingoyo Lindi.
Hamis Dadi
Mgogoro ni wa shamba la Chumvi ambalo kulikuwa na kesi ambayo ameshinda katika Mahakama kuu lenye Ekta 21.Picha zaidi>>>>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname