17 April 2014

PICHA ZAIDI YA UZINDUZI WA GLOBAL TV.. WEMA SEPETU NA GLOBAL DAMU DAMU:





  Snura
Wema Sepetu na Profesa Jay wakikata utepe kuzindua rasmi Global Tv Online leo ndani ya ofisi za Global Publishers Ltd.
Wema na Prof Jay wakifungua kitambaa kuzindua Global Tv Online.
Wasanii wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo (mwenye suti).
Wema Sepetu akimlisha keki Rais wa Bongo Muvi, Steve Nyerere.
Wema, Snura, Shigongo na Dk. Cheni wakichukua msosi katika uzinduzi huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers wakiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa.
Crew ya Global TV Online ikiwa katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi.
Eric Shigongo akiwa katika picha ya pamoja na wasanii pamoja na wafanyakazi wa Global.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname