PICHA ZA AJALI ILIYOUWA WATU 19 MKOANI SINGIDA WAKIWEPO POLISI 4
Basi
hilo la kampuni ya Sumry hufanya safari zake kati ya Kigoma na
Dar-es-salaam. Dereva wa basi hilo alikimbia mara tu na baada ya ajali
hiyo na kulitekeleza basi hilo.
Watu
19 wa kijiji cha Utaho wilayani Ikungi wamepoteza maisha wakiwemo
askari wanne wa jeshi la polisi, baada ya kugongwa na basi la Summry
wakati wakiwa wana toa msaada wa kumpakia marehemu kwenye gari la polisi
aliye gongwa na gari kubwa ambalo halikufahamika mara moja .Mwandishi
wa habari wa ITV alifika na kuwakuta wasafiri walionusurika wakiwa
katika kituo cha polisi cha Ikungi bila ya kujua hatima yao ya safari
baada ya basi lao kuwakanyaga na kuuwa watu 19
No comments:
Post a Comment