Mpoto akiwa uwanja wa ndege Dar es salaam akirejea toka Dubai
Mpoto ameiambia bongo5 kuwa amesemwa sana kuhusu tabia ya kuto vaa viatu lakini ameshindwa kubadilika.
“Beauty yoyote ipo kwenye jicho,unapozungumzi Mrisho Mpoto kuwa peku
,sehemu nyingi sana,mara nyingi sana watu wananiona peku, ni kwa sababu
ya kutafuta energy ,unajua energy ya mimi kuendelea kuishi inapatikana
kwenye udongo,yani ngozi yangu inapokutana na ardhi nakuwa so
(confident) na nakuwa Mpoto, zaidi na nguvu na nakuwa na akili ,sasa
sipendi wakati mwingine kuwa fake,najitaidi sana kuwa wakisasa ila
nakuwa nasahau,kwamfano naweza nikanunu kiatu cha gharama alafu
nikakisahau kwenye ndege au kwenye basi kwasababu siyo kawaida yangu
kuvaa viatu, nisha jaribu lakini nimeshapoteza vingi,kwasababu siyo
culture yangu kuvaa viatu
,viatu navaaga kwasababu watu wananisema.kwaiyo nikivaa ninakuwa kama inanisumbua, nikaona kama bora niache,alafu nakuwa siko huru,ukinikuta nimevaa viatu alafu tukaanza kufanya mazungumzo nakuwa siko huru kwasababu nakuwa nipo kama naelea hewani,yani kama sina chaji,kwaiyo kwangu mimi ardhi ni kama plug ya mwili wangu,nikikanyaga chini wewe niulize chochote nitakujibu niambie niandike shairi la haina yoyote,mimi ata nikiandika nyumbani kwangu lazima niweke miguu kwenye mchanga,ata nyumbani kwangu hakuna mchanga mimi ninabeseni kabisa la michanga,kwajili tu yakukanyaga yani nikiandika nakuwa confidant ata nikiandika nakuwa na amani”Alisema Mpoto

Pia Mrisho ataendelea kufafanua kwanini ataki kubadilika na kuchana na tamaduni ya kutembea mbila kuvaa viatu
“Nataka maisha yasiniendeshe mimi,mimi niyaendeshe maisha, kwasababu
unajua speed ya utandawazi yani globalization ni kubwa sana kuliko speed
ya mwanadamu kwa Tanzania,ukiangalia watu kama Marekani wamepata uhuru
miaka mia mbili iliyopita,sisi tuna miaka mingapi tu ya uhuru na
teknologia inakuja kwa kasi sana,ndiyo maana technologia inapokuta
Tanzania watu wanaimasta sana,kwamfano
facebook,instargam,twetter,whatsapp na mitandao mingine vimekuja kwa
kasi sana na watu vimewabadilisha sana,ata Ngugi wa Thiong’o alisema
huwezi kwenda kwa jirani kama ujatokea kwako,mtu kaka mimi ninapoigia
kwenye technologia siwezi badilishwa kwasababu nimeshajijua mimi ni
nani”Alimalizia Mpoto
From:Bongo5
No comments:
Post a Comment