30 April 2014

Miili ya waliokufa ajali ya Singida waanza kutambuliwa

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEie9Ku6mTEGU7ZoipmWPVFv22cXrKlAqSFhpnIvUYImp_zRpmH4_RmuBvNZXG41_Qjrlct8Z12d05IMxuqjlhZsU2oYsESlMt1W6Mq4VA_Nm5On8MwwCntiodjRNSCiN1a2yFckL6XFBB0/s1600/1.jpg
Baadhi ya miili ya watu waliokufa kwenye ajali iliyosababishwa na basi la Sumry

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjWArsswo-71CY4IVdqnm5HnLkkGylzIu90c_x7rsSiq7Gi6qxBjDWFgyYczXy0khCVru0s_Y8oaNzWWamcSFyFB4dnZApDuGTICG7z2n8TtB7TOCx5ODJaq8_eCYXHt22tg0CKrHDPybI/s1600/2.jpg
Ndugu, jamaa na familia za marehemu wa ajali iliyosababishwa na basi la Sumry wakiwa nje ya hospitali kusubiri kutambua miili ya ndugu zao
MIILI ya watu waliofariki kwenye ajali iliyosababishwa na basi la Sumry, iliyoaua watu 19 wakiwamo trafiki wanne imeanza kutambuliwa.
Ajali hiyo ilitokea juzi kwa basi la Sumry lililokuwa linatokea Kigoma kwenda Dar baada ya kuwaparamia watu waliokuwa wakitoa msaada ya mwendesha baiskeli aliyekuwa amekufa kwa kugongwa katika kijiji cha kijiji cha Utaho, wilayani Ikungi, barabara kuu ya Singida- Dodoma.Inaendelea >>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname