Rapper
mwenye uhusiano na kundi la Wu-Tang Clan, Andre Johnson hana tena
kiungo kinachomfanya aitwe mwanaume kwakuwa madaktari wameshindwa
kuunganisha
.Mtandao wa TMZ uliandika kuwa Johnson aka Christ Bearer aliukata uume wake jana Jumatano na kujirusha kwenye nyumba ya ghorofa mbili anakoishi huko North Hollywood kwa kile kinachodaiwa kutaka kujiua. Alikimbizwa kwenye hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center lakini uume wako umedaiwa kukatika kabisa
No comments:
Post a Comment